(VIFAA VYA KUANDAA)

  1.  1 1/2 KG VIAZI
  2.  4 VITUNGUU MAJI
  3.  6DL  MAZIWA
  4.  2DL  OST AU CHIZI
  5.  CHUMVI KIASI
  6.  PILI PILI MANGA (UKIPENDA)
  7.  CREAM FRESH            

           (KUANZA KUPIKA )

 

  1.  UNAMENYA VIAZI VYAKO 
  2.  UNAVIKATA VIPADE VIPADE YANI KAMA SLES
  3.  UNAMENYA VITUNGUU VYAKO NA KUVIKATA VIDINGO KIDO          

              TUMAWEKA VIFAA TULIVYO MENYA KATIKA FLAMPEN  YANI (VITUNGUU,VIAZI,MAZIWA,CHUMVI,PILIPILI MANGA ,CREAMFRESH NA OST)

              UNAVIKOLOGA YANI UNAVICHANGANYA VILE VITU ULIVYO WEKA KATIKA FLAMPENI NAKIJIKO UKISHA MALIZA KUCHANGANYA

              UNAWEKA KATIKA OVENI LAKO  MOTO WA 175 C VITAKUWA VIMEIVA MDA WA DAKIKA 35-40     

           

                            VIFAA PHOTOS

nabily2014@yahoo.com

nabily2014@hotmail.com

VIAZI GRATIN

Denna kategori är tom.

Kontakt

nabily

nabily2014@hotmail.com

Axel Oxenstiernas Gata 45
Västerås
724 78

0762835299
0760879330

Sök på hemsidan

nabily2014@hotmail.com

Specialerbjuda

Denna kategori är tom.

WWW.NABILY.WEBNODE.SE

Skapa en hemsida gratis Webnode